Uhusiano wa Diamond Platnumz na Zarinah Tlale a.k.a Zari The Boss
Lady sasa unaelekea kwenye level nyingine. Diamond ameweka wazi kuwa
anatarajia kuwa baba.
Kupitia Instagram Diamond alipost picha ya ‘ultra sound’ inayoonesha
kiumbe kilichoko tumboni mwa mama na kuandika: “I can not wait to have
you on my hand”. Hata hivyo aliifuta post hiyo baada ya dakika mbili.
Kwa picha na maneno hayo, Platnumz amethibitisha kuwa yeye na Zari wanatarajia kupata mtoto.
Zari tayari ni mama wa watoto watatu wa kiume aliowapata kwenye uhusiano wake uliopita.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment