
Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa
behind the scene zikimuonyesha
Vanessa Mdee na
Jux ambao kumekuwa na story kwamba wana uhusiano wa kimapenzi.
Imetoka na imeongozwa na director Zed Benson, karibu uitazame hapa mtu wangu.
Bonyeza play kutazama.
Facebook Blogger Plugin by
AllyTz
Post a Comment