Kipa
wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki
wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo.
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la
Mapinduzi jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3
kimewasili jijini Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.
Post a Comment