WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema uandikishaji upya wa Daftari la Wapigakura, utafanyika kwa muda uliopangwa, ikiwemo kura ya maoni ya ...
WEMA SEPETU AKAMATWA NA POLISI KISA KUFUNGULIA MZIKI KWA SAUTI KUBWA USIKU
KATIKA hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye ali...
MIMBA YA MPEZI WANGU NI FARAJA KWANGU-MOSE IYOBO
Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa ...
POKEA FILAMU MPYA KUTOKA KWA MKALI WA BONGO MOVIE, JB NA MASTAA WENGINE
Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Mzee wa Swa...
TLC KUWACHANGISHA MASHABIKI ILIKULIPIA UTENGENEZWAJI WA ALBUM YAO.
TLC Ni miaka 13 toka kundi la TLC wametoa album, baada ya kifo cha mmoja wa wasanii wa kundi hilo Lisa “Left Eye” Lopes mwaka 2002 kundi h...
TAZAMA HAPA VIDEO YA WIMBO MPYA JUX-SISIKII, VANESSA MDEE YUMO NDANI
Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na ...
SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA AVRIL FT OMMY DIMPOZ - HELLO BABBY
Wimbo mpya wa Avril kutoka kenya aliomshirikisha Ommy Dimpoz. umetayarishwa kwa ushirikiano wa Man Water na Ogopa Deejays
AMANDA ACHAFUKA MTANDAONI
M sanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama 'Amanda'. MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, a...
SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI
Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar ...
DIAMOND PLATINUM ATHIBITISHA KUWA ZARI THE BOSLADY NI MJAMZITO
Uhusiano wa Diamond Platnumz na Zarinah Tlale a.k.a Zari The Boss Lady sasa unaelekea kwenye level nyingine. Diamond ameweka wazi kuwa ...
DARASA LA WAKUBWA TU...!!!! JIFUNGIENI, ELEZANENI
KUNA msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya nchini anaitwa Rich Mavoko. Sijamfuatilia sana, lakini nyimbo chache alizoimba, zina uju...
SINA BIFU NA AKINA BABU TALE – PINGU
Pingu na Desso Msanii wa zamani wa kundi la Tiptop Connection, Pingu amesema hana bifu yoyote na viongozi wa kundi hilo Abdu Bonge, Ba...
AUA MKE KWA RUNGU KWA TUHUMA ZA WIVU WA MAPENZI
WATU wawili wamekufa mkoani Singida katika matukio tofauti yaliyotokea hivi karibuni, likiwemo la mwanamke mmoja kupigwa na rungu na...
MATUKIO YA MAUAJI NA UKATWAJI VIUNGO VYA WATU WENYE ALBINISIM YAMEANZA TENA KUSHIKA KASI
Katika kukabilina na matukio ya mauaji na ukatwaji viungo vya watu wenye Albinisim ambayo yameanza tena kushika kasi mwishoni mwa mw...
SIKU ZA DIAMOND KUWA NA ZARI ZINAHESABIKA
Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua ...