Monalisa: Piga Ua Nitaolewa Mwezi Desemba
Mrembo na kwenye sanaa ya uigizaji, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema baada ya kuchoka kuulizwa anaolewa lini, ameamua bora iwe mwezi wa 12.


Akizungumza na GPL, Monalisa alisema kutokana na hilo, kama mambo yatakwenda sawa, mwezi wa tano taratibu zitaanza na kila mmoja atamjua mumewe mtarajiwa atakayefunga naye ndoa Desemba, mwaka huu.

“Nimechoka kuulizwa kila siku unaolewa lini, ni hivi, piga ua mwaka huu. Itabidi niongee na mwenzangu na nina hakika atanikubalia, mambo yatatimia tu,” alisema Monalisa.

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top