MBUNGE WA MBINGA KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA
MBUNGE WA MBINGA KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Mbinga Mh. Kapten John Komba amefariki dunia leo saa kumi jioni katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es S...

Read more »

CHUCHU HANS WA RAY AZIRAI NDANI YA JENEZA
CHUCHU HANS WA RAY AZIRAI NDANI YA JENEZA

Staa wa sinema za Bongo, Chuchu Hans akiwa kwenye jeneza.   HII ni kali ya mwaka! Staa wa sinema za Bongo, Chuchu Hans amejikuta akiz...

Read more »

Picha ya Mpenzi wa Diamond , Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni
Picha ya Mpenzi wa Diamond , Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni

Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu a...

Read more »

 Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa Wagoma Kupokea MAITI Aliyeuawa na Polisi
Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa Wagoma Kupokea MAITI Aliyeuawa na Polisi

Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa wamegoma kupokea maiti ya mama aliyeuwawa wakati wa mapambano yalioyotokea juzi mkoani Iringa kati yao n...

Read more »

Baada ya CHADEMA Kuigaragaza CCM, Mbunge wa Sumbawanga Apangua Shinikizo la Kujiuzulu
Baada ya CHADEMA Kuigaragaza CCM, Mbunge wa Sumbawanga Apangua Shinikizo la Kujiuzulu

MBUNGE wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeish Hilaly amesema hatajiuzulu ng’o nafasi yake kama Mbunge kwa sababu za CCM kushindwa...

Read more »

Watoto wa vigogo marufuku kupewa vizimba Mwanjelwa
Watoto wa vigogo marufuku kupewa vizimba Mwanjelwa

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amepiga marufuku watoto wa vigogo wa serikali, mashirika binafsi, taasisi , madiwani na wanasia...

Read more »

Ukuaji wa Uchumi waporomoka kutoka 7.4% hadi 6.8%
Ukuaji wa Uchumi waporomoka kutoka 7.4% hadi 6.8%

Pato la Taifa kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2014 toka Julai mpaka hadi Septemba 2014 limekuwa na kufikia Trillion 21...

Read more »

Mwanaume wa Miaka 45 Ahukumiwa kifungo cha maisha Jela kwa kosa la Kumbaka Mtoto wa Miaka Minne
Mwanaume wa Miaka 45 Ahukumiwa kifungo cha maisha Jela kwa kosa la Kumbaka Mtoto wa Miaka Minne

Mwanaume mmoja Yusufu Chatambala (45) mkazi wa Kijiji cha Makutupa Kata ya Lupeta Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma, amehuku...

Read more »

Serikali yaombwa kuongeza muda wa uandikishaji BVR
Serikali yaombwa kuongeza muda wa uandikishaji BVR

Wakati zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR likiingia katika siku ya Nne katika halmasha...

Read more »

Watu 3 Wateketea Kwa Moto Baada ya Lori La Mafuta Kupinduka na Kuwaka Moto
Watu 3 Wateketea Kwa Moto Baada ya Lori La Mafuta Kupinduka na Kuwaka Moto

Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta ...

Read more »

Profesa Anna Tibaijuka Ahojiwa Na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.....Mashitaka yanayomkabili na Utetezi wake Vyote Viko Hapa
Profesa Anna Tibaijuka Ahojiwa Na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.....Mashitaka yanayomkabili na Utetezi wake Vyote Viko Hapa

BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemsomea rasmi mashitaka aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

Read more »

MISSY ELLIOTT & PHARRELL WORKING TOGETHER
MISSY ELLIOTT & PHARRELL WORKING TOGETHER

...

Read more »

CHENGE AKATA RUFAA
CHENGE AKATA RUFAA

MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maad...

Read more »

TIKO: NATAKA MTOTO WA PILI, WA KUNIPA MIMBA SINA!!
TIKO: NATAKA MTOTO WA PILI, WA KUNIPA MIMBA SINA!!

Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, ...

Read more »

CHID BENZ APATA MAJANGA TENA!
CHID BENZ APATA MAJANGA TENA!

HUKU kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya ikiwa bado inaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar, msanii wa ...

Read more »

CHID BENZI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA AU KULIPA FAINI YA SH. 900,000..
CHID BENZI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA AU KULIPA FAINI YA SH. 900,000..

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kif...

Read more »

MH TEMBA KUTOKA TMK WANAUME APANDISHWA MAHAKAMANI KWA KUTISHIA KUUA…
MH TEMBA KUTOKA TMK WANAUME APANDISHWA MAHAKAMANI KWA KUTISHIA KUUA…

Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Amani James aka Mh Temba jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Temeke jijini Dar es s...

Read more »

FIRST LOOK: SEE JENNIFER HUDSON AND RITA ORA ON EMPIRE, PLUS THE BIG STARS PLANNED FOR SEASON 2...
FIRST LOOK: SEE JENNIFER HUDSON AND RITA ORA ON EMPIRE, PLUS THE BIG STARS PLANNED FOR SEASON 2...

...

Read more »

NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi
NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi

NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni j...

Read more »

Crazy GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa ngoma mpya
Crazy GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa ngoma mpya

Msanii wa East Coast Team, King Crazy GK ameingia studio kurekodi ngoma mpya na Vanessa Mdee.

Read more »

Msanii wa Bongo Movies Aibuka na Kudai Ana Mimba ya Marehemu MEZ B
Msanii wa Bongo Movies Aibuka na Kudai Ana Mimba ya Marehemu MEZ B

MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B’ ni p...

Read more »

Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz
Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz

Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaa...

Read more »

BINTI AFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE TOKA 2009 ILI ASIOLEWE
BINTI AFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE TOKA 2009 ILI ASIOLEWE

Siku za nyuma kulikuwa na story ambazo tuliwahi kuzisikia ama watu wazima wanaweza kukumbuka enzi hizo wazazi wanakuchambulia mchum...

Read more »

Yusuph Mlela na Esha Buheti Wakiwa Nchini Marekani
Yusuph Mlela na Esha Buheti Wakiwa Nchini Marekani

Hizi ni baadhi ya picha za waigizaji Yusuph Mlela na Esha Buheti wakiwa nchini Marekani ambako wamekwenda kufanya kazi (Filamu) wakiwa ...

Read more »

Malick: Sijaona Kama Rose Ndauka
Malick: Sijaona Kama Rose Ndauka

Bwana Malick Bandawe  amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu aten...

Read more »

MHUBIRI ANAYEHUBIRIA WATU BARABARANI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWAPIGIA KELELE WATU WAKATI AKIHUBIRI
MHUBIRI ANAYEHUBIRIA WATU BARABARANI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWAPIGIA KELELE WATU WAKATI AKIHUBIRI

Mama Mchungaji, Martha Nagbe Martha Nagbe alijikuta akitozwa faini na Mahakama kwa kesi ya usumbufu na kupigia kelele maji...

Read more »

Riyama: Tajiri na Mali Yake, Masikini na Wanawe
Riyama: Tajiri na Mali Yake, Masikini na Wanawe

Mwigizaji wafilamu anaesifika kwa uwezo wake mkubwa wakuvaa uhusika anapokuwa anaigiza, Riyama Ally amelez...

Read more »

MWALIMU WA SEKONDARI YA KIBASILA AAMUA KUKAA NA KINYESI, MENDE NA FUNZA NDANI KWA MIAKA MIWILI
MWALIMU WA SEKONDARI YA KIBASILA AAMUA KUKAA NA KINYESI, MENDE NA FUNZA NDANI KWA MIAKA MIWILI

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeingilia kati tukio la mwalimu wa Sekondari ya Kibasila, Gaudensia Albert kukaa na kinyesi ,men...

Read more »

WATOTO WALIOUAWA KINYAMA NA KULIWA MOYO NA MUUAJI WAZIKWA KWA MAJONZI HUKO KENYA,
WATOTO WALIOUAWA KINYAMA NA KULIWA MOYO NA MUUAJI WAZIKWA KWA MAJONZI HUKO KENYA,

Moja ya taarifa kutoka Nairobi Kenya ambayo ilisikitisha sana ni tukio la watoto watatu kuuawa na mwanamke mmoja ambaye baada ya...

Read more »

Shilole Ataja Chanzo cha Migogoro na Nuh Mziwanda
Shilole Ataja Chanzo cha Migogoro na Nuh Mziwanda

Mwanamziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migog...

Read more »

MWANAMKE AMUUZA MTOTO WAKE MCHANGA WA UMRI WA SIKU 5, ILI APATE FEDHA ZA KUJIKIMU
MWANAMKE AMUUZA MTOTO WAKE MCHANGA WA UMRI WA SIKU 5, ILI APATE FEDHA ZA KUJIKIMU

Mwanamke mmoja ameieleza mahakama ya nchini Kenya kwamba alilazimika kumuuza mtoto wake wa siku tano kutokana na umaskini wa kupindu...

Read more »

WANAFUNZI WATUPWA JELA BAADA YA KUIGIZA IGIZO LINALOIGUSA SERIKALI
WANAFUNZI WATUPWA JELA BAADA YA KUIGIZA IGIZO LINALOIGUSA SERIKALI

Wanafunzi wawili Thailand wamejikuta wakiingia kwenye mikono ya Sheria kutokana tu na igizo ambalo walitunga kwa ajili ya maazimisho...

Read more »

KESI YA MBUNGE ALIYOFUNGULIWA NA MKEWE KUANZA KUSIKILIZWA JUMATATU IJAYO MAHAKAMANI
KESI YA MBUNGE ALIYOFUNGULIWA NA MKEWE KUANZA KUSIKILIZWA JUMATATU IJAYO MAHAKAMANI

  KESI ya madai ya masuala ya ndoa dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Abdallah Sharia Ameir (CCM) iliyofunguliwa dhidi yak...

Read more »

MTOTO MCHANGA AUAWA NA KUTUPWA KICHAKANI MKOANI MOROGORO
MTOTO MCHANGA AUAWA NA KUTUPWA KICHAKANI MKOANI MOROGORO

Matukio ya kutupa watoto wachanga yameendelea mkoani Morogoro ambapo mtoto mchanga wa siku moja ameuwa na kutupwa vichakani kat...

Read more »

CHENGE KIBOKO, BARAZA LA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA LASHINDWA KUMHOJI
CHENGE KIBOKO, BARAZA LA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA LASHINDWA KUMHOJI

Baraza la maadili ya utumishi wa umma limeshindwa kumuhoji mbunge wa Bariadi Magharibi Mh Endrew Chenge baada kuwasilisha zuio la maha...

Read more »

UKAWA WAITAKA SERIKALI KUSITISHA ZOEZI LA UPIGAJI KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA
UKAWA WAITAKA SERIKALI KUSITISHA ZOEZI LA UPIGAJI KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA

Viongozi wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA umeitaka serikali kusitisha zoezi la upigaji wa kura ya maon...

Read more »

JESHI LA POLISI LAPATA AIBU KUBWA, POLISI WAKE AKUTWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI AKIWA AMEVAA SARE ZA JESHI HILO
JESHI LA POLISI LAPATA AIBU KUBWA, POLISI WAKE AKUTWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI AKIWA AMEVAA SARE ZA JESHI HILO

Unakumbuka ile Stori ya askari Asuma Mpaji na Veronica Nazaremo kufukuzwa kazi Mkoani Kagera baada ya picha zao kusambaa mitandao...

Read more »

BASI LA NGOMUO LAPATA AJALI MBAYA YA KUPINDUKA MARA TATU HUKO SINGIDA
BASI LA NGOMUO LAPATA AJALI MBAYA YA KUPINDUKA MARA TATU HUKO SINGIDA

Watu wawili mkoani Singida wamekufa na wengine zaidi ya ishirini na tano wamejeruhiwa kwa kuvunjika mikono na miguu katika aja...

Read more »

Migodi ya Dhahabu Nchini Kuanza Kulipa Ushuru
Migodi ya Dhahabu Nchini Kuanza Kulipa Ushuru

Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; n...

Read more »

Rais Kikwete Aweka Shada la Maua Katika Makaburi ya Marais Lusaka Zambia
Rais Kikwete Aweka Shada la Maua Katika Makaburi ya Marais Lusaka Zambia

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Mic...

Read more »

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Aua Mwanafunzi Mwenzake Darasani Wakati Wakigombania Daftari la Notes
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Aua Mwanafunzi Mwenzake Darasani Wakati Wakigombania Daftari la Notes

Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Ilola iliyopo katika wilaya ya Shinyanga vijijini aitwaye Veronica Venance mw...

Read more »

 Vodacom na Tigo waungana kutoa huduma bora za kifedha
Vodacom na Tigo waungana kutoa huduma bora za kifedha

Huduma za kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni ya Vodacom Tanzania kupitia hudum...

Read more »

Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu
Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’  imewakuna watu wengi  na kufanya kuwa ni moja kati y...

Read more »

Rais Kikwete apokea vitabu Mil 2.5 vya Sayansi
Rais Kikwete apokea vitabu Mil 2.5 vya Sayansi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amesema serikali itaendelea kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kwa lengo la kuha...

Read more »

Warioba Ashutumu Ubinafsi wa Vyama vya Siasa Katika Mchakato wa Kura ya Maoni
Warioba Ashutumu Ubinafsi wa Vyama vya Siasa Katika Mchakato wa Kura ya Maoni

Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba amevitaka  vyama vya siasa kuzi...

Read more »
 
Top