Msanii wa East Coast Team, King Crazy GK ameingia studio kurekodi ngoma mpya na Vanessa Mdee.
Kazi hiyo mpya inayoandaliwa na mtayarishaji mkongwe, John Mahundi akishirikana Marco Chali, inasimamiwa na AY.
“Yeah mzigo upo jikoni na soon utausikia maskioni,” GK amesema.

“Sidhani kama itaathiri kutoka kwa kazi za East Coast ila inawezekana
kwasababu huwezi kuachia kazi mbili kwa pamoja, lazima moja ianze kwanza
na nyingine ifuate,” ameongeza.
“Beat kila kitu kimeandaliwa na John Mahundi na Vanessa ndo anaingiza vocals kwa Marco Chali. Kiukweli hii kazi imesimamiwa kila kitu na AY na baada ya hapo hii project itatoka.”
GK amesema anamshirikisha Vanessa kwakuwa ni muimbaji wa kike anayemkubali zaidi.
“Unajua Vanessa ni hatari sana kwenye muziki, ana uwezo mzuri sana ndio maana ukamuona kwenye hii project yetu.”

Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment