Gardner Dibibi ambae ni mume wa mwigizaji wa filamu
Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amekanusha taarifa zilizoenea mtandao
na kwenye magazeti ya udaku kuwa ameachana mke wake Jack.
Gardner ameimbia Bongomovies.com kuwa taarifa za yeye kuacha na mkwe
wake sio za kweli japo kuwa ni kweli walikuwa natofauti za kawaida na
wameshazimaliza na pia amekanusha kuwa hakumpa talaka kama
ilivyoripotiwa .
”“Taarifa hizo sio za kweli, sisi tuko pamoja, tulikua na matatizo ya kawaida tu lakini hatujaachana na wala sijawai mpa talaka. Gadner alieleza.
Taarifa hizo zilidai kuwa wawili hawa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa
miaka miwili na nusu sasa wameachana baada ya Gardner kumpa talaka Jack
huku chanzo kikitajwa kuwa ni usaliti katika mapenzi.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment