
Akizungumza kwa hisia kali katika maadhimisho ya siku ya Skauti
duniani Dr.Bilali amesema vitendo hivyo havivumiliki kamwe na vimekuwa
vikiitia doa Tanzania kwa kuonekana kuwa vinara wa imani potofu ya kuwa
viungo vya mwanadamu kuwa mtaji wa utajiri kitu ambacho hakipo katika
nchi yoyote ile Duniani.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment