Wastara: Cheka Kinafiki Kama Ulienae Mnafiki!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma alifunguka mtandaoni kama ifuatavyo;


"Siku zote napenda kusmile hata kama nina magumu napitia, siku zote moyo wangu baridi upoza machngu ninayopewa na ninayotwikwa na kulazimishwa kuumizwa hata kama staki lakini tabasamu moyo wangu uliyopoa sura yangu ya upole isiyo na hatia ndio imekuwa fimbo ya kuchapwa kwa kuamini nina moyo wa kusahau mabaya na mwepesi wa kusamehe".

"Kweli niko hivyo lakini nikikusamehe kwa mabaya uliyonitendea hauwezi kuwa na nafasi nzuri katika maisha yangu, na ukinigeuza gazeti la kunisoma kila siku maisha yangu ukayafanya kama yako na kunitafisiri vile unavyotaka na kuniona ninacho wakati sina na kunidharau kwa kuniona sina wakati hata njia zangu za kipato uzijuie uwe ndugu rafiki mpenzi jirani sikupi nafsi ndani ya moyo wangu kama mtu muhimu nakupa nafasi kama filamu ndani macho yangu nakupa na good smile fake kununa ni kujizeesha cheka kinafki kama uliyenae mnafki"..... Wastara aliandika mtandaoni.

Je unamaoni gani juu ya falsafa ya mwanadada huyu.

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top