Sasa ni Zamu ya Yusup Mlela na Esha Buheti Kutua Marekani Kufanya Project
“Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. 


Hahahahaha.alianza Wastara, Mona, Sasa zamu yenu Mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA .

CHAO pamoja wasaniii wadogo haoooooooooooooooooo . Mmmmmmmmmmmmmm majuuuuuuuu”- Steven Mengere 'Steve Nyerere’  aliekuwa raisi wa Bongo Movie Unity alibandika andiko hili mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya wawili hao hapo juu.
Tunawatakia kila la kheri huko muendako

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top