Clouds fm wamekana kuwa shutuma zinazotolewa kwenye social media hasa jamiiforums kwamba wao ni CCM sio za kweli.
Amesema wao kama
radio hawana chama kwa sababu hata sheria TCRA haziruhusu.Pia kwenye uchaguzi wa mwaka huu wagombea wote watapewa nafasi sawa.
Ameendelea kusema kuwa wafanyakazi wachache kuwa CCM haimaanishi clouds yote ni CCM.
Pia clouds imekanusha habari zilizozagaa kuwa radio imenunuliwa na Rostam Aziz, ameongeza kuwa hizo ni propaganda za kuichafua radio hiyo.
Amesema kama wakiuza radio watatangaza kwasababu radio ni yao, na hawamuogopi mtu.
Wakati wanamuhoji nimesikia wanamuita Joh (labda ndiye Joseph Kusaga) sina uhakika na majina mengine,wanomfahamu watatujuza.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment