Hivi karibuni Q-Chief
alidai kuwa sababu za kujiondoa kwenye bendi ya TID, Top Band ni baada
ya TID kumdhulumu mamilioni ya shilingi kutoka
kwenye album ya bendi hiyo.
Hata hivyo TID amedai kuwa hiyo si sababu sahihi na kwamba Chilla alikuwa na tamaa. TID amedai kuwa kimsingi fedha hizo zilikuwa zake zaidi kwa kuwa ni yeye ndiye aliyeandika nyimbo za album hiyo, kutoa jina na pia ni yeye ndiye aliyefikia makubaliano na mhindi kuhusu kuiuza album hiyo.
Amedai kuwa baada ya kulipwa fedha hizo walikuwa wamekubaliana kuwa zingetumika kununulia vyombo vya bendi. Pia alidai Q-Chief alilipwa fedha kadhaa ambazo aliishia kuzilia bata na zilipokwisha aliamua kuchukua polisi kumwendea TID kuwa amemdhulumu fedha yake.

Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment