Kubwa la Maadui Dougiemasta wa Instagram Ambaye kwa sasa ni Kiongozi wa
Team Wema Sepetu amefunguka Kuhusu wale wanaotaka kujua kama wema ana
mpenzi ama la kwa sasa baada ya kuachana na Mwanamuziki Diamond
Platnumz...Haya ndio aliyoyasema:
watu wameuliza kwanini wema
ajamuonesha mpenzi wake na wala ajaonesha wapi walikwenda kwenye
valentine day kwani ukipiga picha halafu umepozi kama uko kwenye
mahaba kwaiyo hapo inamaanisha kuwa mnapenda sana ? just picha aina
maana yoyote.
Valentine day sio lazima utoke out na mpenzi na vitu
fulani una weza kukaa home na unayempenda basi maisha yanakwenda.
Haya
mapenzi ya mitandao yasiwasumbue akili zenu watu wanatumia pesa nyingi
kuonesha wapizani wao kuwa wao wanapenda
.jpg)
Nakumbukeni kuwa wema alisema mwaka huu anataka kujifunza yale makosa
yako yote ,wema yupo bussy sana na mambo ya kikazi na biashara kuweni
wavumilivu mtaona vitu vyake mwaka huu.
Wema Sepetu anaye mupenzi wake
handsome bay fulani hivi good looking kichwani miakili tele mpenda
maendeleo yaani ni mchapa kazi tulizo la moyo wake wanapenda sana ssa
wapo private zaidi sio kujionesha mwisho wa siku mnapata
aibu.
valentine day just one day tu tena tayari imepita ssa kama ulikuwa
unalazima ili uonekane kama unapenda siku kama ya leo unajita kimoyo
moyo acheni kuzuzuka siku hiyo say big No to matusi'
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment