Akihojiwa na waandishi wa habari Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo.


Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

  Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top