Mbunge
wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose
Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini
Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao leo.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.
Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment