Muigizaji wa filamu,Wastara Juma amewapa watu simamzi zito mtandaoni,
baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia
yamemzidia na kubandika picha akiwa analia. Na hivyo kupelekea
mashabiki wengi kumpa pole na kumtia moyo kuwa yote yana mwisho wake
na Mungu ndio mpagaji wa yote.
“Hapa duniani kila mtu ana shida na matatizo lakini kwangu mimi yamezidi
daaah eeeh Mungu nibadilishe basi hiyo nafasi ya mteso uliyoniweka
muweke mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu
niache kulia eeeh Mungu baba jamani mimii mimiii aah”.-Wastara aliandika
baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
Hakuweka wazi nini hasa kimempata,lakini picha hii inaonekana imetoka kwenye moja ya kipande cha filamu.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment