

Mchrezaji Kevin Yondani wa Yanga akiwania mpira na chezaji wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo.

Baadhi ya mashabiki wa Yanga wakiwa katika mchezo huo.

Mrisho Ngasa akiwania mpira katika mchezo huo.


Mchezaji Mbuyi Twite akirusha mpira


Shabiki wa Yanga Babu Ali Tumbo akifanya vitu vyake wakati timu yake ya Yanga ikicheza.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment