Zari Hassan Zari 'The Boss' ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzito alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment