Ikiwa ni couple inayozungumziwa na kufuatiliwa zaidi kwenye bongo
fleva, Diamond na Zari the boss lady walitumia siku ya wapendanao
visiwani Zanzibar kwa kula #GoodTime sehemu tofauti.
Zari na Diamond
walionekana kwenye sehemu marufu ya chakula kitamu cha Zanzibar
#Forodhani wakichagua vyakula tofauti ikiwa ni mara ya kwanza Zari
anafika Zanzibar.
Post a Comment