JB alibandika mabandiko haya kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.
“Wiki mbili zilizopita niliwapa nafasi ya kuchagua top 3 ya movie
zangu.Leo (Juzi) na mimi naanza kuwapa top 5 yangu tangu nianze
kuigiza.NAKWENDA KWA MWANANGU no5.Kesho (Jana) nitawatajia no4.halafu
mwisho nitawatajia zilizoongoza kwa mauzo”.
“Tunaendelea na top 5 zangu tangu nianze kuigiza.Namba 4 DJ BEN.Kesho nitakutajia namba tatu.Atakaye pata nitampa zawadi”.
Haya hebu tuzitaje zingine tupate hiyo zawadi.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment