
Ndani
ya mwaka huu panapo majaliwa, tutajionea filamu kali kutokakwa wakali
wa filamu wa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’,Vicent Kigosi ‘Ray’na King
Majuto.
Akidokeza
kuhusu ujio huo, JB alisema kwenye filamu hiyo yeye na Ray watacheza
kama watoto wa King Majuto na kwasasa wanatafuta mwigizaji wa kike ili
mpango mzima ukamilike.
“Panapo
uzima tutakuwa na filamu ya pamoja na king majuto na mwigizaji mmoja wa
kike ambaye bado tunamtafuta.mimi na ray tutakuwa watoto wa
king”. <span 1.6em;"="">Jb alisema.
Bila shaka itakuwa moja kati ya kazi bora zaidi kwa mwaka huu, Je wewe ungependa mwigizaji gani wakike aongezeke hapa.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment