diamond on sammisagocom


 Muimbaji kutoka Uganda ‘Juliana Kanyomozi’ amesema yeye ” binafsi ni shabiki wa nyimbo za msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz  na ana furaha sana kwa mafanikio aliyopata, anakipaji kikubwa ,anawakilisha Afrika Mashariki kwa ukubwa zaidi huko nje” . 
 
juliana
Akaaulizwa kama atafanya wimbo na Diamond utakuaje na utaitwaje, Juliana anasema “Ukiwa studio mambo mengi yanatokea, sababu ni msanii anayefanya nyimbo za mapenzi nadhani utakuwa wimbo wa mapenzi, na mkubali na amebarikiwa katika kazi zake ” .

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top