Staa wa bongo fleva Nuhu Mziwanda amefunguka kuwa usidhubutu kupendwa nae maana ni shidaaaaaaah!!!
 
 "Ofcoz najua kupenda sijui kutenda na nikikupenda nimekupenda ndo mana mtoto kasalenda, usithubutu kupendwa na mziwanda maana napenda mpaka naboa.
 
No cheating inakua safari njema sana na yenye amani ya moyo na maisha yangu pia' Mziwanda

Unazungumziaje Nuhu Mziwanda?

Facebook Blogger Plugin by AllyTz

Post a Comment

 
Top