Amanda
amewataka mashabiki wake kuachana na maisha yake binafsi kwa
madai kuwa kama maisha yake yanategemea kujiuza kingono basi
wamwache maana anayoiuza ni Papu**chi yake mwenyewe na
hajaazima kwa mtu.
Huu ni ujumbe wake alioundika:
“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa
coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana
wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni
tena kwa pesa yako...
Naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni mimi,niwe na miguu mibaya,mapaja mabaya ,sura mbaya haimuhusu mtu ....manina c mzae wenu!!!! mlikuwa mnasubiri mpk mama amanda azae ndio mkosoe mxiuuuuu....
Kuhusu nguo mtakosoa sana na makelele pigeni ila kuvaa vimini siachi maana hakuna anayenivisha wala kuninunulia...nanunua kwa pesa yng na kama mtu kuvaa nguo fupi anauza basi acheni kupiga kelele maana nauza papuchi yng sijaazima ya mtu....
"Niwatakie usiku mwema wote hahahaaaa nawapenda sana”
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment