Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma” yani
ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka
picha za matukio yao ya zamani.
Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van
Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya
waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth
Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT post yake ya kwanza
maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo
waigizaji Wema Sepetu na Irene Paul.
“My 1st ever throwBackThrusday post... with @officiallulumichael I remember some of my Tanzania peeps at this point shouts to @wemasepetu @irenepaul001 @petitman_wakuache @ramseyhashim”- Van Vicker aliandika kama aelezo ya picha hiyo juu.
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment