Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa amekuja
kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu
wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na
kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua
kwa maneno machafu....amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa
kwenye matawi yake....
“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create fake accounts to insult me, BITCH you actually Envy me... Gnyt now....” Wema aliandika maneno haya mtandao
Facebook Blogger Plugin by AllyTz
Post a Comment